LONDON, ENGLAND: VUMBI la Ligi ya Mabingwa Ulaya inaingia raundi ya nne ya hatua ya ligi leo Jumanne na kesho Jumatano, huku baadhi ya vigogo wakikabiliwa na mtihani wa kurejea kwenye ushindi baada ya ...
WAKATI Ligi Kuu Bara ikiendelea kushuhudia ushindani mkali, mshambuliaji wa Mashujaa, Crispin Ngushi amefunguka kuhusu changamoto alizopitia nje ya uwanja wakati yupo Yanga, namna zilivyomfanya ...
KATIKA mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, Yanga pia ina hesabu za kutoa mfungaji bora baada ya misimu miwili iliyopita kuikosa tuzo hiyo. Rekodi zinaonyesha, katika misimu 10 iliyopita kuanzi ...
Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Your premium access has ended, but the best of Na ...
KAMA kuna mchezaji anayeendelea kuthibitisha ubora wake ndani ya kikosi cha Azam FC hivi sasa, basi ni winga Iddi Selemani ...
DIEGO Moreira alitoa asisti mbili na kufunga bao moja, akiiongoza AC Milan kuibuka na ushindi katika mchezo wa Dabi ya Milan ...
ANDONI Iraola alipuuzia maswali yoyote yaliyohusisha uwezo wa Liverpool kutwaa ubingwa alipokuwa akizungumza na waandishi wa ...
KOCHA wa Mashujaa Queens, Rajab Ally 'Bwamkuu' amesema ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Fountain Gate Princess katika mchezo wa ...
WIKIENDI hii imekuwa ya kuvutia kwa wachezaji wa Tanzania wanaocheza soka la kulipwa nje ya nchi, huku wakionesha viwango vya ...
KUTOKANA na ushindani uliopo kwenye Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) huku zikichezwa raundi tisa, hadi sasa makocha watatu ndani ya ...
SIMBA SC imeendelea kuthibitisha ubora wake katika Ligi Kuu ya NBC msimu huu wa 2026-27 baada ya kuichapa Namungo FC mabao 3-2 katika mchezo mkali uliopigwa leo Novemba 2, 2026 kwenye Uwanja ...
Wakati akitimiza mwaka mmoja na miezi 10 tangu alipopewa uraia wa Tanzania, kiungo Mohamed Damaro ameukana rasmi huku akivunja mkataba na klabu yake ya Singida Black Stars.