VUMBI la Ligi ya Mabingwa Ulaya inaingia raundi ya nne ya hatua ya ligi leo Jumanne na kesho Jumatano, huku baadhi ya vigogo wakikabiliwa na mtihani wa kurejea kwenye ushindi baada ya ...
KAMA kuna mchezaji anayeendelea kuthibitisha ubora wake ndani ya kikosi cha Azam FC hivi sasa, basi ni winga Iddi Selemani ...
ANDONI Iraola alipuuzia maswali yoyote yaliyohusisha uwezo wa Liverpool kutwaa ubingwa alipokuwa akizungumza na waandishi wa ...
DIEGO Moreira alitoa asisti mbili na kufunga bao moja, akiiongoza AC Milan kuibuka na ushindi katika mchezo wa Dabi ya Milan ...
KUTOKANA na ushindani uliopo kwenye Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) huku zikichezwa raundi tisa, hadi sasa makocha watatu ndani ya ...
WAKATI Ligi Kuu Bara ikiendelea kushuhudia ushindani mkali, mshambuliaji wa Mashujaa, Crispin Ngushi amefunguka kuhusu changamoto alizopitia nje ya uwanja wakati yupo Yanga, namna ...
IMEELEZWA kiungo wa kati, Tenda Denis Mutuila kutoka DR Congo, yupo na kikosi cha Azam FC akiwa kwenye uangalizi wa kiwango chake ili kama Kocha Florent Ibenge ataridhishwa naye, basi atakuwa kati ya ...
KATIKA mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, Yanga pia ina hesabu za kutoa mfungaji bora baada ya misimu miwili iliyopita kuikosa tuzo hiyo. Rekodi zinaonyesha, katika misimu 10 iliyopita kuanzi ...
Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Your premium access has ended, but the best of Na ...
SIMBA SC imeendelea kuthibitisha ubora wake katika Ligi Kuu ya NBC msimu huu wa 2026-27 baada ya kuichapa Namungo FC mabao 3-2 katika mchezo mkali uliopigwa leo Novemba 2, 2026 kwenye Uwanja ...
Wakati akitimiza mwaka mmoja na miezi 10 tangu alipopewa uraia wa Tanzania, kiungo Mohamed Damaro ameukana rasmi huku akivunja mkataba na klabu yake ya Singida Black Stars.
LICHA ya kuanza kwa kipigo katika Ligi Kuu ya Wanawake Bara (WPL), Ceassia Queens imesisitiza kuwa haijapoteza mwelekeo wa malengo yake ya kumaliza msimu huu katika nafasi nne za juu.